Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akiwa mahakamani. Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amerudi mahakamani kuomba kujumuishwa katika kesi ya madai ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika msiba wa mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki cha XIL LI, kilichopo Mabibo ...
Mamelodi Sundowns imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 na FAR Rabat nchini Morocco jana, Jumapili, Mei 24, 2026. Sare hiyo katika mechi hiyo ya ...
Basi la kampuni ya A.M lililokuwa likitoka Dodoma kuelekea Dar es Salaam likiwa limepinduka maeneo ya Mailimoja, Kibaha, leo Jumamosi Mei 23, 2026, na kusababisha majeruhi wawili. Picha na Sanjito ...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambama Dawa za Kulevya Tanzania Aretas Lyimo, wakati akiongoza zoezi la uteketezaji wa dawa za Kulevya aina ya Heroini kilo 504.36 mkoani Mtwara Mtwara.
Juni 30, 2024 alitangaza kujiunga CCM mbele ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Ikulu jijini Dar es Salaam na katika uchaguzi mkuu 2025 alikuwa miongoni mwa makada waliokuwa wanasaka ushindi wa ...
Juni 30, 2024 alitangaza kujiunga CCM mbele ya wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Ikulu jijini Dar es Salaam na katika uchaguzi mkuu 2025 alikuwa miongoni mwa makada waliokuwa wanasaka ushindi wa ...
The Mkuju River uranium mining project in southeastern Tanzania is entering its most critical and dynamic implementation phase. Mantra Tanzania Ltd. (Uranium One Group / Rosatom State Corporation) has ...
Mshtakiwa Jacqueline Mwibule(aliyeziba uso), ambaye ni mfanyakazi wa benki ya CRDB, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kusomewa kesi ya uhujumu yenye mashtaka manne likiwemo la ...
Sehemu ya eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 280 lililoko katika kijiji cha Mkiu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kulikogundulika madini mapya aina ya Rare Earth. Arusha. Tanzania inatarajia kukuza ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza leo Mei 22, 2026 katika mkutano wa wadau kuhusu mashauriano kuhusu athari za mabadiliko ya bei ya mafuta duniani.
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, ameteua watatu kuongoza bodi mbalimbali, akiwemo Dk Irene Isaka kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wengine ...