IRINGA: Diwani wa Kata ya Ilole, Erick Kikoti ameendelea kuimarisha mawasiliano kati ya viongozi na wananchi kupitia ziara ya kijiji kwa kijiji inayolenga kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi ...
WAKATI Waislamu duniani wakijiandaa kuadhimisha Sikukuu ya Eid al-Adha inayohusisha ibada ya kuchinja wanyama, ...
PWANI; MPANGO wa Rafiki wa Binti umezindua wimbo maalumu wa kielimu wa Afya ya Hedhi ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya ...
DAR E SALAAM: BARAZA la Madiwani Manispaa ya Temeke limewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi wilayani humo kufanya hivyo ...
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kufuatia utekelezaji wa vipaumbele vya wizara na kwa kuzingatia Malengo ya Kimkakati ya Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001, T ...
DODOMA; WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania inaendelea ...
DAR ES SALAAM: SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limewapa elimu waandishi wa habari nchini kutumia taaluma ...
DODOMA; MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) inatarajia kuanza kufanya usajili wa watoto kuanzia umri wa kuzaliwa, ili kutoa namba ya utambulisho ya kipekee ambayo itajulikana kama Jamii Namba. Ka ...
DODOMA; SERIKALI imesema watu 1,066 walipoteza maisha kutokana na matukio ya ajali za barabarani kuanzia Julai 2025 hadi Aprili 2026, ikilinganishwa vifo 1, 275 vilivyotokea kipindi kama hicho mwaka 2 ...
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi itatekeleza maeneo nane ya vipaumbele katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27. Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni leo, Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas ...
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi, imesema katika Mwaka wa Fedha 2026/27 inatarajia kuajiri watumishi wapya 10,919. Kauli hiyo imetolewa bungeni na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Ncji, Patrobas Ka ...
IRINGA: Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, ametangaza rasmi ujio wa Mwenge wa Uhuru mkoani Iringa kwa mwaka 2026, akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuupokea na kuushangilia mwenge huo unaobeba ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results