Wakati jamii ikiendelea kuzungumzia migogoro ya uhusiano, wataalamu wa afya ya akili na magonjwa ya akili wameibua upande mwingine hatari unaotafuna ustawi wa familia nyingi. Wameitaja hatari hii kuwa ...
WATU wawili ambao wote ni madereva wamepoteza maisha asubuhi ya leo kufuatia ajali iliyotokea katika eneo la Mseke, barabara kuu ya Iringa-Mbeya, ambako magari mawili yamegongana uso kwa uso, na basi ...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema matarajio ya chama hicho ni kuona Tanzania inapata Katiba mpya ifikapo mwaka 2030. Akizungumza ...
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi Baraza jipya Kivuli la Mawaziri kwa kipindi kinachofuata baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kikisema hatua hiyo inalenga kuimarisha usimamizi wa Serikali ...
Watu watano wamefariki dunia papo hapo na wengine 28 kujeruhiwa kufuatia ajali ya barabarani iliyohusisha basi la abiria la kampuni ya Shabiby aina ya Yutong lenye namba T 827 ELZ na lori la mizigo ...
Tanzania imeanza rasmi Safari Mpya ya Kihistoria ikiingia kwenye ramani ya dunia kama Mzalishaji na Msambazaji wa kimkakati wa Gesi ya Helium. Hatua hiyo inafuatia baada ya kusainiwa kwa Mkataba wa ...
GENERATION Queens are out to push for a successful outing in the 2026 Tanzania Cricket Association (TCA) Academy League-Kitunda Girls, having cruised to a four-wicket victory over Bhoke Queens in Dar ...
WAKAZI wa Kata ya Kahama Mjini, wilayani Kahama mkoani Shinyanga, wameiomba serikali kuwajengea shule ya sekondari ili kuondoa adha ya wanafunzi kulazimika kusoma katika kata jirani. Diwani wa kata ...
Wananchi wa Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga wameonywa dhidi ya tabia ya kujichukulia sheria mkononi kwa kutumia nguvu na silaha kama mapanga kutatua migogoro, badala yake wametakiwa kufuata ...