KUNA jambo la siri linaendelea kati ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Usiri huo umeanza kuonekana hivi karibuni, baada ya Gambo kudaiwa ...
Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi aliyedaiwa kupokea mshahara kwa miezi kadhaa bila kuripoti katika kituo chake cha kazi, Hospitali ya Marangu, amerejesha zaidi ya Sh. milioni 11.4 baada ya ...
Wakati jamii ikiendelea kuzungumzia migogoro ya uhusiano, wataalamu wa afya ya akili na magonjwa ya akili wameibua upande mwingine hatari unaotafuna ustawi wa familia nyingi. Wameitaja hatari hii kuwa ...
WATU wawili ambao wote ni madereva wamepoteza maisha asubuhi ya leo kufuatia ajali iliyotokea katika eneo la Mseke, barabara kuu ya Iringa-Mbeya, ambako magari mawili yamegongana uso kwa uso, na basi ...
WATUMISHI 10 kati ya 43 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea wilayani Makete katika wamenusurika kufa baada ya gari namba T985 DHH aina ya Fuso Bus kuacha njia ...
MUSWADA wa marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2024, umependekeza kuongeza kosa na adhabu ya rushwa katika uchaguzi, michezo, michezo ya kubahatisha na burudani. Lengo la ...
Mtoto mmoja Furaha Abdalah (6) mkazi wa mtaa wa Kambi Tano Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji taka ambalo halijaanza kutumika likiwa limejaa ...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema matarajio ya chama hicho ni kuona Tanzania inapata Katiba mpya ifikapo mwaka 2030. Akizungumza ...