Wakati jamii ikiendelea kuzungumzia migogoro ya uhusiano, wataalamu wa afya ya akili na magonjwa ya akili wameibua upande mwingine hatari unaotafuna ustawi wa familia nyingi. Wameitaja hatari hii kuwa ...
Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi aliyedaiwa kupokea mshahara kwa miezi kadhaa bila kuripoti katika kituo chake cha kazi, Hospitali ya Marangu, amerejesha zaidi ya Sh. milioni 11.4 baada ya ...
KUNA jambo la siri linaendelea kati ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Usiri huo umeanza kuonekana hivi karibuni, baada ya Gambo kudaiwa ...
MUSWADA wa marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2024, umependekeza kuongeza kosa na adhabu ya rushwa katika uchaguzi, michezo, michezo ya kubahatisha na burudani. Lengo la ...
Mtoto mmoja Furaha Abdalah (6) mkazi wa mtaa wa Kambi Tano Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji taka ambalo halijaanza kutumika likiwa limejaa ...
Marekani imeishambulia maeneo ya nyuklia ya Iran kwa makombora ya B-2 , amesema Ofisa wa Marekani. Rais wa Marekani Donald Trump anasema Marekani imekamilisha mashambulizi kwenye maeneo matatu ya ...