Wakati jamii ikiendelea kuzungumzia migogoro ya uhusiano, wataalamu wa afya ya akili na magonjwa ya akili wameibua upande mwingine hatari unaotafuna ustawi wa familia nyingi. Wameitaja hatari hii kuwa ...
Simanzi imetanda katika Mtaa wa Olmokeya, Kata ya Sinoni jijini Arusha, baada ya mtu anayedaiwa kuwa fundi ujenzi, Salmin Rajab (29), kudaiwa kumuua mtoto wake mwenye umri wa miezi minane kwa ...
Chama cha ACT Wazalendo kimetangaza rasmi Baraza jipya Kivuli la Mawaziri kwa kipindi kinachofuata baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, kikisema hatua hiyo inalenga kuimarisha usimamizi wa Serikali ...
Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto aliyefunga bao la kusawazisha na kuwaokoa na kipigo kutoka kwa watani zao Simba, amesema bao hilo ndiyo bora kwake tangu aaze kucheza soka, pia likiwa la kwanza ...
WATU watatu wamepoteza maisha baada ya magari mawili kugongana uso kwa uso na kisha kuwaka moto katika eneo la Mataa, kwenye barabara inayoelekea kwa Waziri Mkuu jijini Dodoma. Kaimu Kamanda wa Jeshi ...
Serikali chini ya uongozi wa Dk. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kutekeleza mikakati kuhakikisha vijana wanapata fursa sawa za kujiletea maendeleo binafsi na kuchangia katika ustawi wa Taifa kwa ...
MJUMBE wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia wakati na baada ya uchaguzi, Prof. Ibrahim Juma, amesema katiba inasema wazi kwamba kila mtu anahaki ya kuwa na maoni na kwamba kuna watu ambao ndio wanataka ...
Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi aliyedaiwa kupokea mshahara kwa miezi kadhaa bila kuripoti katika kituo chake cha kazi, Hospitali ya Marangu, amerejesha zaidi ya Sh. milioni 11.4 baada ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results