Wakati jamii ikiendelea kuzungumzia migogoro ya uhusiano, wataalamu wa afya ya akili na magonjwa ya akili wameibua upande mwingine hatari unaotafuna ustawi wa familia nyingi. Wameitaja hatari hii kuwa ...
KUNA jambo la siri linaendelea kati ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Usiri huo umeanza kuonekana hivi karibuni, baada ya Gambo kudaiwa ...
Mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Moshi aliyedaiwa kupokea mshahara kwa miezi kadhaa bila kuripoti katika kituo chake cha kazi, Hospitali ya Marangu, amerejesha zaidi ya Sh. milioni 11.4 baada ya ...
WATUMISHI 10 kati ya 43 wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe, waliokuwa wakielekea wilayani Makete katika wamenusurika kufa baada ya gari namba T985 DHH aina ya Fuso Bus kuacha njia ...
MUSWADA wa marekebisho ya Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa wa mwaka 2024, umependekeza kuongeza kosa na adhabu ya rushwa katika uchaguzi, michezo, michezo ya kubahatisha na burudani. Lengo la ...
Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amemuagiza mkandarasi wa kiwanja cha Ndege Kigoma kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha kinakamilika kwa wakati kutokana na kuchelewa kulikosababishwa na ...
Mtoto mmoja Furaha Abdalah (6) mkazi wa mtaa wa Kambi Tano Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji taka ambalo halijaanza kutumika likiwa limejaa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results