DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Kituo Cha Ubia Kati ya Sekta ya Umma na Binafsi (PPPC ) David Kafulila amesema Leo ni sikukuu ...
WAKATI Waislamu duniani wakijiandaa kuadhimisha Sikukuu ya Eid al-Adha inayohusisha ibada ya kuchinja wanyama, ...
IRINGA: Diwani wa Kata ya Ilole, Erick Kikoti ameendelea kuimarisha mawasiliano kati ya viongozi na wananchi kupitia ziara ya kijiji kwa kijiji inayolenga kusikiliza na kutatua changamoto za wananchi ...
PWANI; MPANGO wa Rafiki wa Binti umezindua wimbo maalumu wa kielimu wa Afya ya Hedhi ikiwa ni kuelekea Maadhimisho ya Siku ya ...
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema kufuatia utekelezaji wa vipaumbele vya wizara na kwa kuzingatia Malengo ya Kimkakati ya Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001, T ...
DODOMA; WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amesema Tanzania inaendelea ...
DAR E SALAAM: BARAZA la Madiwani Manispaa ya Temeke limewataka wakandarasi wanaotekeleza miradi wilayani humo kufanya hivyo ...
DAR ES SALAAM: SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) limewapa elimu waandishi wa habari nchini kutumia taaluma ...
TABORA: SERIKALI imesema itaendelea kuviwezesha viwanda vya kuchakata mazao ya nyuki ili kuleta tija kwa wananchi na kuongeza thamani ya mazao hayo kukidhi mahitaji makubwa kwa soko la ndani na la kim ...
IRINGA: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile ameishukuru serikali kwa kuutendea haki Mkoa wa Iringa kwa kujenga uwanja wa ndege mkoani humo ambapo zaidi ya Sh bilioni 60 zimetumika kufufua uwanja ...
DAR ES SALAAM: BENKI ya Exim Tanzania imeendelea kujikita katika kukuza uchumi wa kidijiti kupitia matumizi ya teknolojia bunifu zinazolenga kuongeza ujumuishwaji wa huduma za kifedha kwa Watanzania.
DODOMA; WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi itatekeleza maeneo nane ya vipaumbele katika bajeti ya Mwaka wa Fedha 2026/27. Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni leo, Waziri wa mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas ...