The Mkuju River uranium mining project in southeastern Tanzania is entering its most critical and dynamic implementation phase. Mantra Tanzania Ltd. (Uranium One Group / Rosatom State Corporation) has ...
Familia ya mfanyabiashara na mmiliki wa Kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki, Bhaozang Ge wakiwa katika mazungumzo wakati wa kumuaga mpendwa wao. Dar es Salaam. Mwili wa Bhaozang Ge, mfanyabiashara ...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo akizungumza katika msiba wa mfanyabiashara na mmiliki wa kiwanda cha kuchakata chupa za plastiki cha XIL LI, kilichopo Mabibo ...
Mamelodi Sundowns imetwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 na FAR Rabat nchini Morocco jana, Jumapili, Mei 24, 2026. Sare hiyo katika mechi hiyo ya ...
Mshtakiwa Jacqueline Mwibule(aliyeziba uso), ambaye ni mfanyakazi wa benki ya CRDB, akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kusomewa kesi ya uhujumu yenye mashtaka manne likiwemo la ...
Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambama Dawa za Kulevya Tanzania Aretas Lyimo, wakati akiongoza zoezi la uteketezaji wa dawa za Kulevya aina ya Heroini kilo 504.36 mkoani Mtwara Mtwara.
Sehemu ya eneo lenye ukubwa wa kilomita za mraba 280 lililoko katika kijiji cha Mkiu wilaya ya Ludewa mkoani Njombe kulikogundulika madini mapya aina ya Rare Earth. Arusha. Tanzania inatarajia kukuza ...
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewateua majaji tisa kuwa majaji wa Mahakama ya rufani. Awali, Mahakama ya Rufani ilikuwa na jumla ya majaji 40 kwa mujibu wa taarifa za Mahakama ...
Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan, ameteua watatu kuongoza bodi mbalimbali, akiwemo Dk Irene Isaka kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wengine ...
Dar es Salaam. Kiungo mshambuliaji wa Yanga, Allan Okello, ameendelea kuonyesha umwamba wake kufuatia kufunga katika mchezo wa nne mfululizo wa Ligi Kuu Bara wakati timu hiyo ikirejea kileleni mwa ...
Kibaha. Viongozi wa vyama sita vya ukombozi Kusini mwa Afrika wamekutana Kibaha mkoani Pwani kushuhudia uzinduzi wa Kituo cha Utafiti wa Maendeleo na Mapambano dhidi ya Umaskini kilichopo katika Shule ...
Baadhi ya waombolezaji wakiwa wamefika kwenye msiba wa mmiliki wa kiwanda cha XIL LI, Bhaozang Ge uliopo Mabibo Sokoni ndani ya kiwanda hicho Dar es Salaam. Wafanyakazi zaidi ya 200 wa kiwanda cha XIL ...