(Washington, DC) – Benki ya Dunia imeidhinisha mkopo wa elimu wa kiasi cha $500 milioni dola za kimarekani kwa Tanzania bila kuitaka serikali kuachana na sera yake ya kuwafukuza shule wasichana ...
Sera hiyo iliyofanyiwa maboresho imeanzisha somo la Ujasiriamali kwa wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha nne ili kuwapatia ujuzi utakaowawezesha kujiajiri au kufanya shughuli kwa kutumia elimu ...
Mnamo Machi 31, 2020, Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Dunia iliidhinisha mkopo wenye utata wa kiasi cha Dola za Marekani 500 Milioni kwa serikali ya Tanzania kwa ajili ya program ya elimu ya sekondari ...