Makala ya “ Muziki Ijumaa”, inaangazi juu ya muziki wa Bongo Fleva nchini Tanzania. Ally Bilali ameongea na msanii wa muziki wa Bongo Fleva. Mwanamuziki huyu anaongelea kazi kubwa aliyoifanya.
Muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania umeanza kujitengenezea njia mpya kwenye soko la muziki. Hatua hiyo ni baada ya wasanii wengi wa muziki huo kuanza kutumia ala za muziki wakiwa majukwaani na ...
Aina mpya ya muziki unaojulikana nchini Tanzania kama BONGO FLAVA umejipatia umaarufu barani Afrika. Muziki huo ulioanza miaka tisini kama aina mpya ya hip pop na R & B ya kitanzania mwanzoni hakupewa ...
Makala ya Nyumba ya Sanaa juma hili inakuletea mahojiano na Rogat Hega Katapila ambaye ni mmoja wa viongozi wa bendi ya muziki wa dansi ya Extra Bongo yenye maskani yake jijini Dar es salaam nchini ...