NI wanamuziki wengi wamepata nafasi ya kutumbuiza katika michuano ya Kombe la Dunia la FIFA lakini linapokuja suala la ...
Mamia ya vijana walijitokeza jijini Nairobi kuhudhuria hafla ya Misa ya tatu {'Third Service',} hafla inayochanganya muziki wa injili, dansi, ibada na burudani katika mtindo mpya wa kuwafikia vijana ...
KWA zaidi ya wiki sasa, jina la Caren Simba limeendelea kutikisa mitandao ya kijamii na kurasa za burudani baada ya muigizaji ...
Mwaka 2020 unakumbukwa kama mwaka uliokabiliwa na changamoto si haba. Sekta mbali mbali za uchumi ziliathirika kutokana na janga la Corona. Lakini mojawapo sekta iliyoathirika pakubwa ni burudani, ...
Kwenye burudani la karibuni tunajimwaga jamvini na msanii maarufu wa Mombasa,Kenya, Mama Fathma/Idriss Salim Kidogo,miongoni mwa mengi ametusimulia jinsi alivyovamiwa hivi karibuni na vijana ...
Burudika na Kidumbaki, ngoma ya asili kutoka visiwani Zanzibar, inatoa burudani isiyo na kifamia jambo linafanya iweze kuchezwa hata masaa sita pasipo kupumzika. Zaidi kuhusu uhondo huo Tazama vidio ...